TAHADHARI NI JUKUMU MUHIMU KWA TEKINOLOJIA

⚠️ Tahadhari Muhimu

Sarafu za kidijitali (cryptocurrency) zinaweza kupanda au kushuka thamani kwa haraka. Tokeni hii haijakusudiwa kama uwekezaji wala hatuhamasishi ununuzi wake kwa madhumuni ya kubashiri faida kwenye soko la wazi.

Kusudi kuu la tokeni hii ni kuwapa wateja njia mbadala ya kupata bidhaa na huduma zetu kwa malipo madogo madogo badala ya kulipa kiasi kikubwa kwa wakati mmoja.

Kabla ya kununua au kutumia tokeni hii, hakikisha unaelewa hatari zinazohusiana na sarafu za kidijitali. Shiriki tu ikiwa uko tayari kukubali uwezekano wa kupoteza sehemu au thamani yote ya fedha ulizoweka.

Taarifa zilizopo kwenye tovuti hii hazipaswi kuchukuliwa kama ushauri wa kifedha, uwekezaji, sheria au kodi.

Fungua Ukurasa wa Tokeni

Comments

Popular Posts